Tunaleta popote Dar es Salaam · Mikoani tunatuma kwa basi
Little Ella Baby Shop

Kila kitu cha mtoto wako na cha mama pia.

Nguo za watoto wachanga na wakubwa, toys, vyombo vya mtoto na nguo za ujauzito. Agiza hapa au WhatsApp, lipa kwa simu, tunakuletea hadi mlangoni.

Lipa kwa simu
M-Pesa · Mixx by Yas · Airtel Money
Delivery ya haraka Dar
Siku hiyo hiyo au kesho
Tutembelee dukani
Duka #406 Mwenge Stand Mpya ya Mabasi
Size haiko sawa? Tunabadilisha
Haijavaliwa, lebo zipo

Chagua kwa kundi

Bando

Vitu vilivyochaguliwa pamoja, kwa bei nafuu kuliko kununua kimoja kimoja.
Bando zote

Mpya wiki hii

Ona zote

Jinsi ya kuagiza

Ni rahisi na salama, na muda wowote unaweza kuongea na mtu wetu moja kwa moja.

  1. 1Chagua bidhaaChagua saizi na rangi, kisha weka kikapuni. Huna uhakika na saizi? Tuulize WhatsApp.
  2. 2Lipa au thibitisha kwa chatLipa kwa simu (utaweka PIN yako), au tutumie oda yako WhatsApp.
  3. 3TunakuleteaRider wa Bolt ndani ya Dar es Salaam, basi kwa mikoa mingine, au pita uchukue dukani.

Ona mzigo mpya kabla ya wengine

Tufuate @little_ella_baby_shop Instagram na TikTok.