Delivery na kuchukua dukani
Tunatuma kila sehemu Tanzania. Chagua njia inayokufaa wakati wa kukamilisha oda.
Delivery ndani ya Dar es SalaamDelivery ni kwa rider wa Bolt. Tutaangalia nauli ya kufika ulipo na kukutumia gharama ya delivery kwa SMS au WhatsApp kabla oda haijatoka dukani.
Mikoa mingine na ZanzibarTunatuma mzigo kwa basi. Tutakujulisha nauli ya basi na namba ya mzigo kwa SMS au WhatsApp.
Chukua dukaniDuka #406 Mwenge Stand Mpya ya Mabasi
