Tunaleta popote Dar es Salaam · Mikoani tunatuma kwa basi
Little Ella Baby Shop

Jinsi ya kuagiza

  1. 1Chagua bidhaaChagua saizi na rangi, kisha weka kikapuni. Huna uhakika na saizi? Tuulize WhatsApp.
  2. 2Lipa au thibitisha kwa chatLipa kwa simu (utaweka PIN yako), au tutumie oda yako WhatsApp.
  3. 3TunakuleteaRider wa Bolt ndani ya Dar es Salaam, basi kwa mikoa mingine, au pita uchukue dukani.
Bado una swali? Chat nasi