Magauni
Gauni refu la ujauzito
TSh 55,000Ipo dukaniKitambaa kinachovutika, kinakua pamoja na tumbo lako na kinafaa kunyonyeshea baadaye. Utakaa nalo vizuri siku nzima.
Saizi: SMwongozo wa saizi
1
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash
