
Swaddle na mashuka
kitambaa chepesi cha kumfunika mtoto
TSh 35,000Ipo dukaniMuslin inayopitisha hewa kwa kumfunga mtoto, kujifunika ukinyonyesha, au kama shuka nyepesi. Inazidi kuwa laini kila ukifua. Rangi:Udongo
1
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash
