Tunaleta popote Dar es Salaam · Mikoani tunatuma kwa basi
Little Ella Baby Shop
Chupa ya Momeasy ya kumnyweshea mtoto maziwa
Chupa na ulishaji

Chupa ya Momeasy ya kumnyweshea mtoto maziwa

TSh 10,000Ipo dukani

Ina tundu la hewa kupunguza gesi na maumivu ya tumbo. Haina BPA, mdomo mpana rahisi kusafisha. Rangi:Kijani

1
Uliza kuhusu bidhaa hii WhatsApp
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash