Tunaleta popote Dar es Salaam · Mikoani tunatuma kwa basi
Little Ella Baby Shop

Mwongozo wa saizi

Saizi zimepangwa kwa umri, lakini kila mtoto ni tofauti. Angalia urefu kwanza.

SaiziUrefu hadiUzito hadi
0–3m61 cm6 kg
3–6m67 cm8 kg
6–12m76 cm10 kg
12–18m83 cm11.5 kg
18–24m90 cm13 kg
2–3y98 cm15 kg
3–4y104 cm17 kg
4–5y110 cm19 kg
5–6y116 cm21 kg
6–7y122 cm23 kg
7–8y128 cm26 kg

Yuko katikati ya saizi mbili? Chukua kubwa, watoto wanakua haraka sana.

Bado una swali? Chat nasi