Kubadilisha bidhaa
Size haiko sawa? Usijali, tutakubadilishia.
- Bidhaa iwe haijavaliwa na lebo zake bado zipo.
- Ilete dukani au tuma kwa boda.
- Kwa sababu za usafi, chupa za kunyonyeshea na nguo za ndani hazibadilishwi.
Size haiko sawa? Usijali, tutakubadilishia.