Midoli laini
Dubu laini (teddy)
TSh 22,000Ipo dukaniLaini sana, macho yameshonwa, salama tangu kuzaliwa. Zawadi pendwa kwa mtoto mchanga.
1
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash
