Tunaleta popote Dar es Salaam · Mikoani tunatuma kwa basi
Little Ella Baby Shop
Gauni la sherehe la madoa
Magauni

Gauni la sherehe la madoa

TSh 38,000Zimebaki 3 tu

Gauni la kupendeza kwa birthday, harusi na Eid. Lina bitana ya pamba ndani, halimwashi mtoto.

1
Uliza kuhusu bidhaa hii WhatsApp
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash