
Bodysuit
Bodysuit za pamba, pakiti ya 3
TSh 25,000Ipo dukaniPamba laini inayopitisha hewa, ina vifungo chini kwa kubadilisha nepi haraka. Inafaa joto la Dar na ni laini kwa ngozi ya mtoto mchanga.
Saizi: 0–3mMwongozo wa saizi
1
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash
