Tisheti na blauzi
Tisheti ya mistari ya wavulana
TSh 18,000Ipo dukaniTisheti ya pamba laini yenye mstari kifuani. Haiharibiki umbo hata ukifua mara nyingi.
Saizi: 2yMwongozo wa saizi
1
Dar es Salaam: tunaleta kwa rider wa Bolt, gharama tunakutumia kwa SMS
Mikoa mingine: tunatuma kwa basi, siku 1–3
Malipo: M-Pesa, Mixx by Yas, Airtel Money, HaloPesa au cash
